🔥 WWE SMACKDOWN VS RAW 2011
Furahia mieleka halisi kwenye simu yako! Cheza na John Cena, Randy Orton, Undertaker na mastaa wengine wote. Game hii ina muonekano mzuri na "Physics" za kisasa za kuvunja meza na ngazi.
🛠️ Jinsi ya Kuset Game:
- Pakua file la mchezo kupitia batan ya Download hapo juu.
- Tumia ZArchiver Pro ku-extract (kufungua) file hilo.
- Fungua PPSSPP Gold, kisha nenda kwenye sehemu ya Games.
- Chagua folder uliloweka mchezo na uanze kucheza!
Post by: world_chanpions_ftb / chidygaming ⚡