🕹️ Mortal Kombat: Shaolin Monks (PC Edition)
Burudani ya PS2 sasa inapatikana kwenye PC yako kwa urahisi zaidi! Game hii ni nyepesi na inacheza bila kukwama (lag).
🖥️ Sifa za PC (System Requirements)
- RAM: 2GB - 4GB (Inafaa PC zote hata zile dhaifu).
- Processor: Intel Core 2 Duo / i3 kwenda juu.
- Graphics: Intel HD Graphics inatosha kabisa.
- Hard Disk: 4GB Free Space.
⚙️ Jinsi ya Kuset (Easy Configuration)
1. BIOS Setup: Weka file la BIOS kwenye folder la
bios ndani ya PCSX2 Emulator. Ifungue emulator kisha chagua BIOS ya USA.
2. Video Setting (No Lag): Nenda Config > Video > Plugin Settings. Weka Renderer kuwa Direct3D11 (Hardware) na Internal Resolution kuwa Native (PS2).
🔥 GET FULL GAME ISO
Nunua game ya Mortal Kombat: Shaolin Monks PC sasa hivi kupitia Haraka Pay. Link itatumwa kwako papo hapo baada ya malipo!
TSH 15,000/=
LIPA HARAKA SASA
🔒 Secure Payment | chidygaming 2026
💡 Info Muhimu
Game hii inacheza watu wawili (Multiplayer). Inashauriwa kutumia USB Controller (Pedi) ili kufurahia mapigo na "Fatalities" kwa urahisi zaidi. PC yako haitapata moto wala game haitapiga scratch ukifuata settings hizi!