Tokyo Drift
Ingia kwenye ulimwengu wa mbio za usiku mjini Tokyo. Jifunze sanaa ya kuteleza (drift) na uwe mfalme wa barabara ukiwa na PSP yako.
SYSTEMPSP / PPSSPP
SIZE~350 MB
REGIONEUROPE
YEAR2006
NIPO HAPA KUKUSAIDIA, Asante kwa kussapoti chidygaming . Whatsapp(0655361060) Game zote zipo za simu na LAPTOP/PS2.