Naruto Senki Mod 2.1.6 Apk Download

Naruto Shippuden: Senki Mod

Version 2.1.6 - All Ninjas Unlocked

Pakua Naruto Senki Mod Apk toleo la 2.1.6 ukiwa na ninjas wote waliofunguliwa pamoja na modes zingine za mchezo zikiwa wazi kabisa.

Naruto Senki Mod ni mchezo wa mapigano (animated fighting game) ambapo unapambana hatua kwa hatua, ukitumia nguvu zako maalum dhidi ya wapinzani wenye nguvu.

Unapocheza, utakuwa na vitufe vitano vya skills vinavyokupa nguvu tofauti za kumshambulia mpinzani wako. Kuna modes mbalimbali kama 1v1, 3v3, Story Mode, Boss, Clone, na Training.

Wahusika (Characters):

Uzumaki Naruto Haruno Sakura Hatake Kakashi Uchiha Sasuke Nara Shikamaru Akimichi Choji Yamanaka Ino Sai

Bofya hapa chini kupata APK moja kwa moja:

📥 Download Naruto Senki 2.16 (151 MB)

Hakuna matangazo yanayokera, link ya moja kwa moja.

🎮 Game Rating

Graphics: 85%
Gameplay: 90%
Sound: 70%
Average: 0%
By chidygaming

Post a Comment

Previous Next

نموذج الاتصال

Zingatia?

NIPO HAPA KUKUSAIDIA, Asante kwa kussapoti chidygaming . Whatsapp(0655361060) Game zote zipo za simu na LAPTOP/PS2.