GTA San Andreas Mobile
VERSION 2.11.264 (Highly Compressed)Pakua GTA San Andreas highly compressed Apk Obb inayofanya kazi kwenye simu zote za Android na GPU zote. Huu ni mchezo wenye ramani kubwa (Open World) unaohusisha miji mitatu mikubwa: Los Santos, San Fierro, na Las Venturas.
KUMBUKA: Faili hili ni zito (2.49 GB). Hakikisha una walau 7 GB ya nafasi (Free Space) kwenye simu yako kabla ya kupakua ili kuepuka matatizo wakati wa ku-extract.
🎮 Sifa za Toleo Hili:
- Visual fidelity iliyoboreshwa (High Graphics).
- Zaidi ya saa 70 za gameplay.
- Inatumia GPU zote (Adreno, Mali, PowerVR).
- Highly Compressed - Imerahisishwa kupakua.
🛠 JINSI YA KUWEKA (INSTALLATION STEPS)
Fuata hatua hizi kwa umakini ili mchezo ufanye kazi:
Hatua ya 1: Pakua na install ZArchiver Pro Apk.
Hatua ya 2: Tumia ZArchiver kutafuta faili la Obb ulilopakua, kisha ubonyeze na uchague "Extract".
Hatua ya 3: Nenda juu kwenye ZArchiver, chagua Device Memory > Android > obb.
Hatua ya 4: Bonyeza alama ya ku-paste (Extract hapo). ZArchiver itaunganisha mafaili yote kuwa folder moja la com.rockstargames.gtasa.
Hatua ya 5: Baada ya kumaliza ku-extract, install APK ya GTA San Andreas na ufungue mchezo.
*Hakikisha hukati extract process mpaka imalize 100% ili kuepuka "File Corrupt".