Tomb Raider: Anniversary
Console: Sony PSP (PPSSPP)
File Name: Tomb Raider Anniversary (USA).zip
Category: Action-Adventure
Release Year: 2007 (Remake)
Tomb Raider: Anniversary ni remake ya mchezo wa kwanza kabisa wa Lara Croft. Katika mchezo huu, utamsaidia Lara kupenya kwenye mapango ya hatari, kutatua mafumbo ya kale, na kupambana na viumbe wa ajabu ili kupata artifact ya Scion of Atlantis. Ni mchezo bora kwa mashabiki wa puzzles na action.
🏺 DOWNLOAD ARTIFACT (ISO)
OFFICIAL UPLOAD BY CHIDYGAMING